Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na maafisa na askariMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na maafisa na askari
(hawapo Pichani) wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni katika kikao kazi maalum leo
tarehe 26/05/2021 ambapo amewaagiza kusimamia sheria za nchi ipasavyo na
kuendelea kuwachukulia hatua kali wale wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu.
Picha na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...