Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiapa mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Leila Mgunya kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiweka Saini katika hati ya kiapo baada ya kuapa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akikabidhiwa hati ya kiapo na Jaji wa Mahakama Kuu, Leila Mgunya(kushoto) baada ya kuapa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...