Rais mstaafu wa Awamu ya Nne nchini Tanzamia, Dk. Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya kufungus Mkutano wa kimataifa wa elimu Bora ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), ambao unashirikisha wadau mbalimbali wa elimu kutoka serikalini, asasi na taasisi za kimataifa za ndani na nje ya nchi. Mkutano huo ulioanza leo unafanyika kwa siku tatu Ukumbi wa Kisenga Jengo la LAPF jijini Dar es Salaam, yaani tarehe 18 hadi 20 Mei 2021.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akizungumza kwenye mkutano huo. |
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne nchini Tanzamia, Dk. Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali ya wanachama wa TEN/MET. |
Sehemu ya wajumbe washiriki wakiwa katika mkutano huo. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...