
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kikao na viongozi mbalimbali
wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation)
kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi
mbalimbali (Wanawake) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private
Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 31 Mei,
2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na
viongozi mbalimbali (Wanaume) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania
Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe
31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...