Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Ujumbe katika barua iliyotoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Mjumbe
Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye,
Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika
Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na
Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste
Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira watatu kutoka kushoto, wakwanza
kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Balozi Liberata Mulamula, pamoja na viongozi wengine kutoka Serikali ya
Burundi pamoja na Ubalozini kwao hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana Mgeni wake, Balozi Ezechiel Nibigira Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...