Wakazi wa mkoa Dar es Salaam na maeneo ya jirani wakiwa
wamefurika kwa wingi katika Soko Kuu la Kariakoo wakiwa katika harakati ya
kupata mahitaji mbalimbali kwaajili ya maandalizi ya sikukuu Eid el Fitri hali
hii imekuwa ni kawaida kutokea katika eneo hili la Karikakoo hasa inapofika msimu wa sikukuu.(Picha zote na Emmanuel
Massaka, Michuzi Tv)
Baadhi ya wakazi wa mkoa
wa Dar es Salaam wakiwa katika harakati
za kununua bidhaa mbalimbali ikiwemo viatu kama wanavyoonekana ikiwa ni maandalizi ya Siku kuu ya Idd el Fitri leo tarehe 12 Mei, 2021.
Baadhi ya wakazi mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kununua vyombo kama inavyoonekana na pichani leo tarehe 12 Mei, 2021.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...