Watumishi Ofisi ya Bunge wampokea kwa bashasha Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi alipowasili katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma
Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi (Mwenye maua) katika picha ya
pamoja na watumishi wa Ofisi ya Bunge nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma.
Katibu
wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi (katikati mbele) katika picha ya pamoja
na Menejimenti ya Ofisi ya Bunge nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini
Dodoma. Wanne kushoto mbele ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi akipokelewa na Mkurugenzi
Msaidizi wa Utawala na Rasilimali Watu Bunge, Ndg. Triphonia Mng’ong’o
alipowasili katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...