Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hati Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba kwa kutambua mchango wa Mfuko wa PSSSF katika kufanikisha maonesho ya Mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Mei 2021.Waziri Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wadau waliofanikisha maonesho hayo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...