Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa, akizungumza wakati wa uzinduzi wa program inayowaandaa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa soko la ajira za kibenki uliondaliwa na Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), chuoni hapo Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Idara ya Taaluma ya Fedha wa UDBS, Dk. Evelyn Richard, Mkuu wa UDBS, Prof. Ulingeta Mbamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya mabenki Tanzania (TBA), Tusekelege Joune.
Kaimu
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya DCB, Meshack Kayila (kushoto),
akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam (UDBS), waliohudhuria uzinduzi huo chuoni hapo, Dar es
Salaam, leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDBS), wakihudhuria uzinduzi huo chuoni hapo, Mlimani, leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya mabenki Tanzania (TBA), Tusekelege Joune
(kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa program inayowaandaa
wanafunzi wa vyuo vikuu kwa soko la ajira za kibenki uliondaliwa na
Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), chuoni hapo
Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mratibu wa Kituo Huduma za
Kibenki na Fedha wa UDBS, Dk. Tobias Swai, Mkuu wa Idara ya Taaluma ya
Fedha wa UDBS, Dk. Evelyn Richard, Mkuu wa UDBS, Prof. Ulingeta Mbamba
na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa.
Mkuu
wa Idara ya Taaluma ya Fedha wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDBS), Dk. Evelyn Richard, akizungumza wakati wa uzinduzi wa
program inayowaandaa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa soko la ajira za
kibenki uliondaliwa na Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDBS), chuoni hapo Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto kwake pichani ni,
Mkuu wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), Prof.
Ulingeta Mbamba, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa
na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya mabenki Tanzania (TBA), Tusekelege
Joune.
Mkuu
wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), Prof.
Ulingeta Mbamba, akizungumza wakati wa uzinduzi wa program inayowaandaa
wanafunzi wa vyuo vikuu kwa soko la ajira za kibenki uliondaliwa na
Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), chuoni hapo
Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mratibu wa Kituo Huduma za
Kibenki na Fedha wa UDBS, Dk. Tobias Swai, Mkuu wa Idara ya Taaluma ya
Fedha wa UDBS, Dk. Evelyn Richard, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
mabenki Tanzania (TBA), Tusekelege Joune.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...