Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo ameshiriki Bonanza la Mazoezi ya kutembea lililoanzia Mlimani City Dar kwa ajili ya kuchangia mil 100 kwa watoto njiti Kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Katika bonanza Hilo Prof. Makubi amehamasisha wananchi kufanya mazoezi Mara kwa Mara ili kujikinga na Magonjwa yasiyoambukiza
Pia Prof. Makubi amehamasisha wananchi kujiunga na Bima ya afya.
Katibu Mkuu huyo alimwakilisha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima.
Home
AFYA
HABARI
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ASHIRIKI BONANZA LA KUCHANGIA MILIONI 100 KWA AJILI YA WATOTO NJITI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...