Ujenzi  wa  barabara ya Kilwa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaa unaendelea kwa kasi kama inavyoonekana pichani mafundi wakiendelea na kazi ya kuhakikisha barabara inakamilika kwawakati ili kuwapunguzia foleni wananchi wanaoishi Mbagala na maeno mengine ya jiji.

Ujenzi wa barabara ya Kilwa wilya ya Temeke jijini Dar es Salaam         ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana  pichani.
(Picha zote na  Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...