Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma unavyoonekana wakati wa maonesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali vilivyo chini ya NACTE na taaisisi nyingne.


Mkurugenzi wa uthibiti, ufuatiliaji na tathimini wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dkt. Jofrey Oleke akizungumza na wawakilishi wa taasisi zilizoshiriki manonesho ya pili ya mafunzo na ufundi yanayofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, ili kupata maoni yao katika kuboresha maonesho yatakayofuata. Maonesho hayo yameandaliwa na NACTE.
Mwenyekiti wa Baraza la NACTE Prof. John Kondoro (kulia) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga alipotembelea maonesho ya elimu ya mafunzo na ufundi kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, yaliyoandaliwa na NACTE. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa NACTE, Dkt. Adolph Rutayuga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...