Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar Luteni Kanali Burhani Zuberi Nassor, akizungumza na kutowa Taarifa fupi ya Wiki ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar.Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizunguma katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu.)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.zilizofanyika katika ukumbi huo leo 26-6-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizoadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Vijana wakishiriki katika maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.


Mwakilishi wa Waliopata Nafuu kutoka (Recovery Community Zanzibar) Ndg. Mikidadi Said Kassim akizungumza na kutowa salamu za waliopata nafuu na kuacha matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar, wakati Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.


Baadhi  ya Wananchi na Wanafunzi wakifuatilia hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...