RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake
Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali
yake leo 5-6-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri
Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani
kwake Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia
hali yake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumjulia hali leo 5/6/2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...