Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi
wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF-) Abebe Aemro Selassie
Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika (IMF) Abebe
Aemro Selassie akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan yaliyofanyika
Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...