Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe 15 Juni,
2021 katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza.Vijana mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza pamoja na
maeneo mbalimbali nchini wakicheza katika shamrashamra za mkutano wao huo kabla
ya kuanza kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan. PICHA NA IKULU.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...