Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akimpa zawadi ya moja ya kikombe chenye nembo ya Hifadhi za Taifa, Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akiwa na Mkewe Majda Sakho mara baada ya mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Allan Kijazi.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akimpa zawadi ya Tisheti kutoka Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro  Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akiwa na Mkewe Majda Sakho mara baada ya mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akizungumza na  Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho mara baada ya  mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Jijini  Dodoma ambapo Nyota huyo Sakho  ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania.
Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akizungumza na Vyombo vya habari katika mkutano wa Waandishi wa habari  uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...