Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Lusius Mwenda akizungumza na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na utalii kuhusu utaratibu wa ziara ya mafunzo iliyofanyika jana kwenye mashamba ya Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (hayupo pichani) yaliyoko Zinje (Zuzu) nje kidogo ya jiji la Dodoma.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akitoa maelezo kuhusu chakula cha samaki kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye (kushoto) wakati wa ziara ya mafunzo ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii iliyofanyika jana katika mashamba yake yaliyoko Zinje (Zuzu) nje kidogo ya jiji la Dodoma.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akionyesha moja ya bwawa la samaki kwa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii waliotembelea mashamba yake yaliyopo Zinje (Zuzu) nje kidogo ya jiji la Dodoma jana. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye (kulia kwake) wakifuatilia.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akitoa maelezo kuhusu shamba la zabibu kwa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii (hawapo pichani) waliotembelea mashamba yake yaliyopo Zinje (Zuzu) nje kidogo ya jiji la Dodoma jana. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye (kushoto).

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akitoa maelezo kuhusu kilimo cha Green House kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye  (katikati) wakati wa ziara ya mafunzo kwa vitendo ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii waliotembelea mashamba yake yaliy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...