Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Dkt. Maduhu I. Kazi, akimpatia  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), Mr. Shariff A. Shariff nyaraka mbalimbali zinazoelezea majukumu ya kituo, taratibu ya kusajili Miradi ya Uwekezaji na taarifa za Uwekezaji za Sekta katika ukumbi wa Karume namba 1 na 2 kwenye Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere maarufu kama Sabasaba tarehe 11 Julai, 2021.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar  (ZIPA), Mr. Shariff A. Shariff na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Dkt. Maduhu I. Kazi  wakiongea na vyombo vya habari kuhusu majukumu mbalimbali ya taasisi zao pia ushirikiano uliopo kati ya ZIPA na TIC katika ukumbi wa Karume namba 1 na 2 kwenye Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere  (Sabasaba) tarehe 11 Julai, 2021.
Picha ya pamoja kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Dkt. Maduhu I. Kazi, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar  (ZIPA), Mr. Shariff A. Shariff wakiwa pamoja na wafanyakazi wa Taasisi zao katika  Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere maarufu kama Sabasaba tarehe 11 Julai, 2021.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar  (ZIPA), Mr. Shariff A. Shariff na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Dkt. Maduhu I. Kazi wakipeana taarifa mbalimbali za masuala ya Uwekezaji katika ukumbi wa Karume banda namba 1 na 2 kwenye Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere  (Sabasaba) tarehe 11 Julai, 2021

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...