Wajasiriamali wanaojihusisha na uandaaji na uuzaji wa vitafunwa mbalimbali wakiendelea na shughuli yao hiyo kando ya kituo cha mabasi kama wanavyonekana pichani leo Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Saama. Wateja wao wakubwa ni Madereva na Makondakta wa Daladala pamoja wapita njia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...