Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea zawadi ya begi kwa ajili yake (picha namba 3) na kwaajili ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan( Picha namba 2) wakati alipokuwa akizindua maonesho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na mjasiriamali Bi Aziza Saidi anayefanya biashara ya tiba mbadala. wakati alipotembelea banda maalum la wafanyabiashara wadogo( Machinga). Makamu wa Rais ameagiza Bi Aziza kusaidiwa haraka katika biashara yake hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akitembelea mabanda mbalimbali kujionea bidhaa zilizopo kwenye maonesho ya sabasaba ya mwaka 2021 wakati alipofika kuzindua maonesho hayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango
akipata maelezo kutika kwa Mkuu wa Jeshi la kujenga taifa Brig Jenerali
Rajabu Mabele wakati alipotembelea katika Banda hilo la Jeshi la Kujenga
Taifa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...