RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa
Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya
kukifungua Kituo cha Afya Mbuyumaji Matemwe, akiwa katika ziara yake
Mkoa Kaskazini Unguja leo 5-7-2021.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe wakimsikili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na wananchi baada ya kukifungua Kituo cha Afya Mbuyu Maji Matemwe.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...