Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo katikati ni Modesta Simwanza
Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA na Sigfid Mtei Afisa Habari na Mawasiliano kwa Umma wakiwa pamoja na mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo.
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo katikati ni Modesta Simwanza
Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akiwapa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...