

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye katikati akiwa na baadhi ya Watumishi wa Shrika hilo mara baada ya kukabidhiwa tuzo kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla wakati wa kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye akionesha tuzo alizopokea kwa niaba ya Shirika hilo kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Suleiman Hemed Abdulla wakati wa kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...