Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Fatma Almasi Nyangasa akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee alipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Fatma Almasi Nyangasa akizungumza jambo na wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee(katikati) kuhusu namna Bodi hiyo ilivyojioanga kutoa huduma mbalimbali kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu BRELA Godfrey Nyaisa akizungumza na wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...