Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha Afya cha Matemwe Mbuyu Maji jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake ndani ya Mkoa huo (kushoto) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.[Picha na Ikulu.] 05/07/2021.
Wananchi wa Matemwe Mbuyu Maji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akzungumza nao leo baada kuweka jiwe la msingi kituo cha Afya cha Matemwe Mbuyu Maji jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake ndani ya Mkoa huo.[Picha na Ikulu.] 05/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wananchi wa Matemwe Mbuyu Maji baada kuweka jiwe la msingi kituo cha Afya cha Matemwe Mbuyu Maji jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake ndani ya Mkoa huo leo (kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui..[Picha na Ikulu.] 05/07/2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...