
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akimjulia hali Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na
Watoto Zanzibar. Mhe. Nassor Ahmed Mazrui aliyelazwa katika la Wodi ya
Taasisi ya ‘Neurosurgical Institute’ katika Hospitali Kuu ya Mnazi
Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akimjulia hali Mtoto Samir Haji akiwa amepakatwa na Mama yake
Bi. Zulfa Vuai Mwinyi, alipotembelea Wodi ya Watoto katika jengo la
Taasisi ya ‘ Neurosurgical Institute’ katika Hopitali Kuu ya Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Said Mussa, aliyelazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa mifupa. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.Dr.Msafiri Marijani, alipowasili katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kuwatembelea na kuwajulia hali Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali hiyo.(Picha na Ikulu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...