Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Barua yenye Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Umoja wa Falme za kiarabu (U.A.E) Sheikh Mohammed Bin Zayed Al-Nahyan, uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Mfalme huyo Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al-Nahyan ambaye ni Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Julai 15,2021. PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika mazungumzo na mgeni wake Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za
Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al-Nahyan, Mjumbe Maalum kutoka kwa
Mfalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Mohammed Bin Zayed
Al-Nahyan, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Julai 15, 2021.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimkaribisha Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za kiarabu Sheikh
Shakhboot Bin Nahyan Al-Nahyan ambaye ni Mjumbe Maalum kutoka kwa Mfalme
wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Mohammed Bin Zayed
Al-Nahyan, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Julai
15,2021.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...