Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakipokea Gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipanda Mti wa Muembe mbele ya Jengo la Ikulu ya Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021. Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura leo Julai 16,2021. (Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...