Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Julai 03,2021 kwa ajili kuangalia Mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Julai 03,2021 kwa ajili kuangalia Mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. (Picha na Ikulu.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...