Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akimpa pole Bi.Tumpale Kilasi ambaye amefiwa na Mume wake Kada wa Chama Cha Mapinduzi Asifiwe Brown Mwanjisi kilichptokea jana huko Mwakaleli Kandete, Busokelo wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya 2 ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 12, 2021
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Ndugu Shaka Hamdu Shaka akikagua maendeleo ya ujenzi ya Maabara katika Shule ya
Sekondari ya wasichana Busokelo, wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya 2 ya ziara ya
Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 12, 2021.(Picha
na CCM Makao Makuu)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...