Mkurugenzi wa Utafiti, Machapisho na Huduma kwa UmmaKessy(kushoto) akizungumza jambo na Mhadhiri Mwandamizi kutoka Chuo kikuu Dodoma Dkt. Rehema Kilonzo(kulia) kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi Idara ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Miraji Hossein akitolea ufafanuzi kuhusu mtambo wa kusafishia maji uliotengenezwa na chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhili Msaidizi Idara ya Elimu ya Saikolojia na Mafunzo ya Mitaala UDOM, Frederick Msangi akielezea namna walivyojipanga hasa kwenye kozi zenye tija kwenye Jamii na zinazoendana na kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Idara ya Kemia Chuo kikuu cha Dodoma(kushoto) , Dkt Sahini Mtabazi akizungumza jambo na Mhadhiri Mwandamizi Taasisi ya Taaluma za Maendeleo na Mkurugenzi wa Shahada za awali, Dkt Victor George Marealle katika banda la chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Tiba kwa Jamii Shule ya Tiba ya Afya ya kinywa kutoka UDOM, Deogratius Bintabara akiendelea kutoa huduma kwa baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi Idara ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Miraji Hossein(kushoto) akizungumza jambo na Mhadhiri Idara ya Kemia Chuo kikuu cha Dodoma(kulia) , Dkt Sahini Mtabazi pamoja na Mhadhili Msaidizi Idara ya Elimu ya Saikolojia na Mafunzo ya Mitaala UDOM, Frederick Msangi(katikati) katika banda la chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...