Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia zabibu zilizovunwa kutoka kwenye shamba la mkulima, Stanley Swaga, wakati alipotembelea Shamba la mkulima huyo, lililopo Hombolo Jijini Dodoma, Julai 5, 2021
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea Shamba la Mkulima wa Zabibu Photunatus Kenyumko (katikati) lililopo Msalato Jijini Dodoma Julai 5, 2021. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kitalu cha Shamba la zabibu alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), iliyopo Makutopora Jijini Dodoma, Julai 5, 2021.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Dkt. Godfrey Mkamilo (kulia) kuhusu mche wa mti wa zabibu, wakati alipotembelea Makao Mkuu ya Taasisi hiyo, iliyopo Makutopora Jijini Dodoma, Julai 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchakata zabibu cha CETAWIKO Florenzo Chesini, wakati alipotembelea kiwanda hicho ili kuona utendaji kazi wake, Hombolo Jijini Dodoma Julai 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...