Mkuu wa Wilaya ya Bunda Joshua Nassari (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka la Vodacom wilaya Bunda mkoani Mara mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc imezindua duka hilo wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake.
Mkuu
wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Joshua Nassari akipata maelezo kutoka
kwa mhudumu wa duka la Vodacom baada ya kuzindua duka la Vodacom
wilayani humo mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc ilizindua duka
hilo wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora
karibu na wateja wake
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...