Mchambuzi Mwandamizi Mifumo ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT,Bw. Ephraim Madembwe akiwapa elimu wananchi waliotembelea banda la benki hiyo kuhusu hati fungani kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.
Meneja Msaidizi Huduma za Kifedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Nixson Kyando akitoa elimu jinsi fedha mbovu zinavyotolewa kwenye mzunguko na kuharibiwa kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.
Afisa Mwandamizi Rasirimali Watu Benki Kuu ya Tanzania,Bi Joyce Shala akitoa maelezo kwa wananchi wakati walipotembelea katika banda hilo kuhusu bodi ya bima ya amana kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.
Afisa Biashara Owen Salewa kutoka Kampuni ya Dun&Brandstreet ambao ni wadau wa Benki Kuu ya Tanzania katika huduma za kifedha akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika band hilo.
Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliotembelea katika banda hilo ili kupata elimu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki Kuu ya Tanzania BoT kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...