
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA), Godfrey Nyaisa akipata maelezo kuhusiana na huduma zinazotolewa na BRELA kutoka Afisa Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma wa BRELA Rhoida Andusamile wakati alipotembelea banda la BRELA katika maonesho ya 45 Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...