Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Askofu Simon Chibuga Masondole kwa kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akimkabidhi
Bakora ya Kichungaji, Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, Simon Chibuga
Masondole kama alama ya kazi ya uchungaji, wakati wa tukio la kupewa
daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki
Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4,
2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
skofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akiwa ameweka kitabu cha injili kichwani mwa Askofu mteule wa Jimbo Katoliki Bunda Simon Chibuga Masondole wakati wa tukio la kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akimvisha Mitra Askofu Simon Chibuga Masondole, wakati akimpa daraja takatifu la uaskofu na kumsimika kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia waamini wa Jimbo Katoliki Bunda, baada ya kusimikwa kua Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, Simon Chibuga Masondole kwa kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...