Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza na Makamishna Uhifadhi, Manaibu Kamishina,Wakuu wa Kanda na Wakuu wa Hifadhi na Misitu katika mkutano uliofanyika leo katika Hifadhi ya Taifa ya Manyara mkoani Manyara mara baada ya kusaini kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi la Wanyamapori na Misitu.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Jenerali (Mst) George Waitara kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi la Wanyamapori na Misitu katika hafla iliyofanyika leo katika Hifadhi ya Taifa ya Manyara mkoani Manyara. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanmyamapori Tanzania (TAWA) Meja Jenerali (Mst) Hamisi Semfuko kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi la Wanyamapori na Misitu katika hafla iliyofanyika leo katika Hifadhi ya Taifa ya Manyara mkoani Manyara. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...