.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt.Faustine Ndugulile (wa tatu kushoto) akionesha Mpango Mkakati wa Utendaji Kazi na upimaji wa miaka mitano (2021/22-2025/26) mara baada ya kuuzindua jijini Dodoma. Wengine wa pili kulia ni Naibu wake Mhe. Mhandisi Kundo Mathew, Kulia ni mwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Mlaghila Jumbe (Mb) na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt.Faustine Ndugulile (wa tatu kushoto) akionesha Mpango Mkakati wa Utendaji Kazi na upimaji wa miaka mitano (2021/22-2025/26) mara baada ya kuuzindua jijini Dodoma. Wengine kutokea kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew, mwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe.Mlaghila Jumbe (Mb), na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa tovuti ya wizara hiyo katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma. Wengine kutokea kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula na Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mlaghila Jumbe (Mb)
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt.Faustine Ndugulile (wa tatu kushoto) akionesha Mpango Mkakati wa Utendaji Kazi na upimaji wa miaka mitano (2021/22-2025/26) mara baada ya kuuzindua jijini Dodoma. Wengine wa pili kulia ni Naibu wake Mhe. Mhandisi Kundo Mathew, Kulia ni mwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Mlaghila Jumbe (Mb) na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt.Faustine Ndugulile (wa tatu kushoto) akionesha Mpango Mkakati wa Utendaji Kazi na upimaji wa miaka mitano (2021/22-2025/26) mara baada ya kuuzindua jijini Dodoma. Wengine kutokea kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew, mwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe.Mlaghila Jumbe (Mb), na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...