Na Mwamvua Mwinyi ,Mafia
Chama
Cha Mapinduzi -CCM wilaya ya Mafia yapokea taarifa ya Utekelezaji wa
Ilani ya Uchaguzi kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2021.
Akiwasilisha
taarifa hiyo, mkuu wa wilaya ,Martin Ntemo ameelezea kwamba sehemu
kubwa ya miradi imeweza kupatiwa fedha kama ilivyopangwa na thamani ya
fedha hizo kuonekana.
Kamati hiyo ya Siasa imetembelea mradi wa ujenzi wa ghati kwa ajili ya meli kushusha magari na mizigo mikubwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...