Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (katikati) akisindikizwa na Maaskari wa Bunge wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai wa kufika mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akipita kwenye mashine kwa ajili ya ukaguzi wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Mhe. Spika Job Ndugai ya kufika mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka akiongoza mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa aliefika mbele ya kamati hiyo akiitikia wito wa Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya kamati kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiingia kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na vitendea kazi vyake wakati akiitikia wito wa Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (katikati) akiwa mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge akiitikia wito wa Spika Job Ndugai wakumtaka kufika mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Agosti 24, 2021. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...