Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman ( katikati) akizungumza na ujumbe wa Chama cha Mabaharia Zanzibar leo ofisini kwake migombani( kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha mabaharia zanzibar nd. Hamaza usi AME, Katibu wa chama hicho Hussein Nassor Uki, na Hamad said malik ambaye ni Makamu mwenyeki na kutoka kulia wa kwanza ni Ali Mzee ali katibu wa vijana wa chama cha mabaharia na Kheir Abdulrahman Suleiman Mjumbe wa kamati Tendaji wa chama hicho.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zaanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman ( kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Mabaharia Zanzibar Bw. Hamza Ussi Ame. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Makamu wa Rais Migombani leo mjini Zanzibar
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar (katikati) Mhe. Othman Masoud Othman akizungumza na Kamisaa wa Sensa Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Hamaza na wa pili ni Mtakwimu mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfudh Mwinyi
( Picha kwa hisani ya ofisi ya Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...