

KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikagua gari la kuchimba visima lililonunuliwa na Jeshi hilo kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji magerezani na kuboresha kilimo cha umwagiliaji.Gari hilo limegharimu takribani Tsh. Milioni mia tano na hamsini.


Muonekano wa gari la kuchimba visima lililonunuliwa na Jeshi hilo kwa ajili ya kupunguza tatizo la maji magerezani na kuboresha kilimo cha umwagiliaji.Gari hilo limegharimu takribani Tsh. Milioni mia tano na hamsini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...