Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia kwa ajili ya
kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema
leo Agosti 24,2021.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi
mbalimbali wa Serikali ya Zambia alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya
kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema.
PICHA NA IKULU.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akangalia vikundi vya
Ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth
Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe
ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...