Kamera ya michuzi TV yanasa muendesha baisikeli ya miguu mitatu (Guta) akiwa na abiria wawili na mizigo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa abiria hao, leo jijini Ilala Mkoa wa  Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)Kamera ya Michuzi TV yamanasa majasiriamali akiwa juu ya baiskeli ya miguu mitatu jambo ambalo ni hatari kwa usalama wake, leo jijini Ilala Mkoa wa  Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...