Matukio Mbalimbali ya Siku ya Yanga maarufu kama siku ya Wananchi leo Agosti, 29,2021, sherehe ya siku ya Yanga inayoendelea kufanyika katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam rangi za njano na Kijani zimetawala katika uwanja huo.


Wasani wakitumuiza siku ya wananchi katika Uwanja wa Benjamini Mkapa leo Agosti, 29,2021 jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...