Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akisalimia na Mzee wa Msikiti    Masjid Noor--Abswar Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi  baada ya kushiriki Ibaada ya Swala ya Ijumaa iliyofanyika leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya kushiriki Swala ya Ijumaa katika Masjid Noor--Abswar Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni kawaida yake kushiriki katika Masjid mbali mbali.[Picha na Ikulu] 27/08/2021.
 Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Noor--Abswar Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) alipokuwa akiwasalimia  kwa kuwakumbusha  masuala ya uwajibikaji.[Picha na Ikulu] 27/08/2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...