/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni.(Picha nav Ikulu)
BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu) 


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...