Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021

Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akichangia jambo wakati  kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021, kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Aderladus Kilangi   

 

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...