Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang (kulia) walipokutana Tehran nchini Iran, Agosti 4, 2021 katika uapisho wa Rais mpya wa nchini Iran, Mhe. Ebrahim Raisi, Spika Ndugai alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika uapisho huo. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...